Utofauti Wa Kijinsia Katika Biblia
‘The Breaking Open Series’ ni mkusanyiko wa nyenzo fupi zilizoundwa ili kutoa mwongozo juu ya vifungu vya maandiko na tafsiri zenye changamoto zinazotumiwa mara nyingi kwa njia zinazodhuru watu wa LGBTQI na jamii zingine zilizotengwa. Kupitia maswali ya majadiliano na lugha inayoeleweka kwa urahisi, kila nyenzo imeundwa kukusaidia wewe na jumuiya zako katika kujenga uhusiano unaozingatia haki kwa Imani na dini, unaosimikwa kwenye kanuni za kuendeleza maisha mema kwa watu wote.
Download this free resource by registering via the form. You will receive a PDF copy via email.
Published by Soulforce, Inc. Copyright © 2017 All Rights Reserved